Pages

TRANSLATION OF SPICES FROM ENGLISH TO SWAHILI

Hawaji - Turmeric

Jira - Cumin

Kisibiti - Caraway

Masala - Masala

Mbegu za mpopi - Poppy seeds

Pilipili iliyosagwa - Ground pepper

Pilipili kali - Chili pepper

Pilipili manga - Black pepper

Pilipili mbuzi - Paprika

Pilipili nyeupe - White pepper

Pilipili ya Jamaika - Allspice

Pilipili ya kijani - Green pepper

Pilipili ya pinki - Pink pepper

Pilipili zilizookwa - Dried chiles

Pilipili zilizopondwa - Crushed chiles

Pilipili-halapenyo - Jalapeño pepper

Reteni - Juniper berry

Udaha - Cayenne pepper

Unga wa viungo vitano - Five spice powder

Uwatu - Fenugreek

Viungo vya Kikajuni - Cajun seasoning

30 comments:

  1. whats the difference between tea masala and masala

    ReplyDelete
    Replies
    1. Tea masala is mixid spices for tea.Masala is a general term for the mixture of spices. Eh. Pilau masala that refer to the mixture of spices for pilau

      Delete
  2. Masala for mchuzi and tea masala ya chai

    ReplyDelete
  3. Galatin ni kimiminika kinachotumika kuhifadhi vyakula visiharibike hususqni vilivyopo kwenye package lakini galatin hiyo hutokana na ngozi ya wanyama kama ngombe nguruwe mbuzi au ngozi ya samaki lakini kujua kama kimiminika hicho ni cha mnyama halali ni bora kutumia bidhaa iliyokua na nembo ya halali

    ReplyDelete
  4. Samahani,naomba kujua basin flour kwa kiswahili

    ReplyDelete
  5. Still no answer for alligator pepper in kiswahili

    ReplyDelete
  6. Naomba kujua oregano ni kiungo kipi Kwa kiswahili

    ReplyDelete
  7. Naomba kujua parsley mi nini Kwa kiswahili

    ReplyDelete
  8. Chaat masala kwa kiswahili

    ReplyDelete
  9. Anyone who knows alum powder and gram powder in Swahili.

    ReplyDelete
  10. Nimeskia kitu inaitwa simsi inawekwa kwa mchanganyiko was kutengeneza barafu ili barafu I we soft isiwe ngumu...tafadhali Nini hio kwa kizungu?

    ReplyDelete
  11. Nini tofauti kati ya turmeric, curcumin na cumin?

    ReplyDelete
  12. Sanuti kwa kizungu initially nini

    ReplyDelete
  13. naomba kujuzwa thyme kwa kiswahili

    ReplyDelete
  14. Naomba kujua Kiswahili cha maca root tafadhali

    ReplyDelete
  15. Hepper pepper kwa kiswahili yaitwaje?

    ReplyDelete
  16. carom seed kwa kiswahili zinaitwaje ?

    ReplyDelete
  17. Naomba kujua kiswahili cha carom seed

    ReplyDelete
  18. Why is it named pilipili mbuzi after the Goat?

    ReplyDelete
  19. naomba kujua Sufa na Halali na kamni abiadh na aswed inaitwaje kwa English?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mashaallah 🥰 shukhran I enjoyed coz some of spices I didn't know in kiswahil name

      Delete
  20. Uzile kwa kiengereza tafadhali

    ReplyDelete